NEC yaanza kushughulikia wenye mahitaji maalum

Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC Bw. Ramadhani Kailima

Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC imesema, imeanza kushugulikia tatizo la watu wenye mahitaji maalum kwa kuwaandalia vifaa maalum vya kuwawezesha kushiriki kupiga kura kwa urahisi katika chaguzi zijazo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS