NEC yaanza kushughulikia wenye mahitaji maalum Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC Bw. Ramadhani Kailima Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC imesema, imeanza kushugulikia tatizo la watu wenye mahitaji maalum kwa kuwaandalia vifaa maalum vya kuwawezesha kushiriki kupiga kura kwa urahisi katika chaguzi zijazo. Read more about NEC yaanza kushughulikia wenye mahitaji maalum