Marehemu Spika mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samwel Sitta.
Familia ya Marehemu Spika Mstaafu wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania marehemu Samwel Sitta, imesema wanatarajia kupokea mwili wa marehemu ukitokea Ujerumani siku ya Alhamis wiki hii.