Mama Janeth Magufuli aruhusiwa kutoka hospitali

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli aliyekuwa amelazwa katika wodi ya Sewahaji ya Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam ameruhusiwa na kurejea nyumbani leo baada ya afya yake kuimarika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS