Waziri Mkuu aalika wawekezaji kutoka Uingereza Sarah Cooke - Balozi wa Uingereza nchini Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiomba Serikali ya Uingereza ihamasishe wawekezaji zaidi kutoka nchini humo ili waje kuwekeza kwenye sekta ya viwanda. Read more about Waziri Mkuu aalika wawekezaji kutoka Uingereza