Tundu Lissu alikumbuka Bunge la Mh. Sitta Mbunge wa Singida Mashariki, Mh. Tundu Antiphas Lissu Wabunge mbali mbali wa vyama vya upinzani Bungeni, wametoa yale yanayosemwa ya moyoni juu ya mwenendo wa Bunge kwa sasa, wakifananisha na ule ambao marehemu Samuel Sitta alikuwa akiuendesha. Read more about Tundu Lissu alikumbuka Bunge la Mh. Sitta