Muigizaji bora wa kiume. Waliochaguliwa kuwania kipengele cha Muigizaji bora wa kiume katika tuzo za #EATVAwards ni Saidi Ally Mkukila, Dotto Hussein Matotola, Daudi Michael Tairo (Duma), Meya Shabani Hamisi na Salim Ahmed (Gabo). Read more about Muigizaji bora wa kiume.