Nilipumzika muziki kula bata Ibiza - Ommy Dimpoz Msani Ommy Dimpoz amesahihisha mashabiki walipokuwa wakisema msanii huyo kafulia baada ya kukaa kimya muda mrefu kwenye game, na kusema aliamu tu kupumizka kwa muda na si kama alifulia. Read more about Nilipumzika muziki kula bata Ibiza - Ommy Dimpoz