Mikoa 21 yahakiki ushiriki Taifa Cup kwenye kikapu Mikoa zaidi ya 21 inatarajia kushiriki shindano la 'Taifa Cup' la mpira wa kikapu, lilalotarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia Desemba Mosi mpaka 10 jijini Arusha. Read more about Mikoa 21 yahakiki ushiriki Taifa Cup kwenye kikapu