RAHCO kusimamia ujenzi wa reli ya kati

Usafiri wa treni

Kampuni hodhi ya raslimali za reli nchini RAHCO inatarajia kuanza kusimamia ujenzi mkubwa wa reli ya kati ya kisasa kwa kiwango cha Standard Gauge kutoka Dar es Salaam kupitia Isaka – Zambia hadi Mwanza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS