CAF yawaongezea kitita washindi michuano ya Afrika Mabingwa wa Afrika, Mamelod Sundowns Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF limeongeza kitita cha fedha zinazozawadiwa washindi katika michuano yote kuanzia mwaka 2017 kuelekea 2020. Read more about CAF yawaongezea kitita washindi michuano ya Afrika