Kundi bora la mwaka. Makundi yaliyochaguliwa kuwania kipengele cha Kundi bora la mwaka katika tuzo za #EATVAwards ni Wakali Wao, Sauti Sol (Kenya), Team Mistari (Kenya), Mashauzi Classic na Navy Kenzo. Read more about Kundi bora la mwaka.