Mwili wa Sitta kuwasili nchini leo

Marehemu Samwel Sitta

Mwili wa aliyekuwa Spika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samwel Sitta unatarajiwa kuwasili leo mchana ukitokea ujerumani ambapo umauti ulimkuta alipokwenda kupatiwa matibabu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS