Moto wateketeza ghala la matairi Dar

Moto ukiteketeza ghala hilo

Moto mkubwa umetokea kwenye ghala la vipuli vya magari na matairi la Saba General lililopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam huku chanzo chake kikitajwa kuwa ni shoti ya umeme.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS