Simba SC yafunguka kuhusu usajili wa Okwi

Emmanuel Okwi wakati akiwa Simba

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba Zacharia Hanspoppe amekanusha usajili wa washambuliaji Emmanuel Okwi na Kipre Herman Tchetche ndani ya klabu hiyo katika dirisha dogo la usajili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS