Mourinho 'alikoroga' tena FA
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho anakabiliwa na uwezekano wa kuadhibiwa tena na Chama cha Soka Uingereza (FA) baada ya kufukuzwa uwanjani na mwamuzi siku ya jana Jumapili, kwenye mechi iliyomalizika sare 1-1 dhidi ya Westham.