Polisi Kenya lawamani kwa matumizi mabaya ya nguvu

Polisi nchini Kenya wakimuadhibu muandamanaji.

Kundi la wataalam wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa , limelaani machafuko yaliyoambatana na msako wa polisi dhidi ya watu waliokuwa wakiandamana kwa amani katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS