Rais Magufuli aongoza wakazi Dar kumuaga Sitta

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amewaongoza viongozi na wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samuel John Sitta.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS