Z-Anto aingia mwaka 2017 na nyumba ya 4 Z-Anto Mwanamuziki Z-Anto ambaye aliwahi kufanya vyema katika muziki miaka ya nyuma na kuamua kukaa pembeni huku akifanya biashara zake ameanza vyema mwaka 2017 kwa kujenga nyumba ya nne nje ya kazi yake ya sanaa. Read more about Z-Anto aingia mwaka 2017 na nyumba ya 4