Kiwanda cha mataruma chashusha uzalishaji kwa 70%
Kiwanda pekee cha kutengeneza mataruma ya reli na uchimbaji wa kokoto Afrika Mashariki na Kati kilichopo eneo la Kongolo Kwale wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, kinakabiliwa na uchakavu wa mitambo hali ambayo imepunguza kiwango cha uzalishaji kwa 70%