Tuna chakula cha kusaza - Waziri Tizeba Waziri wa Kilimo, Mifubo na Uvuvii, Dkt. Charles Tizeba Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba amelazimika kutoa ufafanuzi kuhusu hali ya chakula nchini huku akisisitiza kuwa Tanzania ina chakula cha kutosha na haina njaa kabisa. Read more about Tuna chakula cha kusaza - Waziri Tizeba