Dume Suruali yavunja historia ya Mwana FA
Video ya wimbo Dume Suruali wa Mwana FA aliyomshirikisha Vanessa Mdee imevunja historia ya rapa huyo kwa kuwa video yake ya kwanza katika historia yake ya muziki kufikisha watazamaji wengi zaidi katika mtandao wake wa 'You tube'