Rais Magufuli ateua wabunge wapya wawili Abdallah Bulembo (Kushoto) akiwa na Rais Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 16 Januari, 2017 amefanya uteuzi wa Wabunge wawili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Balozi mmoja. Read more about Rais Magufuli ateua wabunge wapya wawili