JPM awateua Kitila Mkumbo na Semakafu

Prof. Kitila Mkumbo (Kushoto) na Ave Maria Semakafu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 04 Aprili, 2017 amefanya mabadiliko madogo katika safu ya Makatibu Wakuu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS