VIDEO: Nina usongo sana na Simba Vs Yanga - Sirro
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Simon Sirro amewaonya mashabiki wapenda fujo kukaa nyumbani na kutazama mpira wa watani wa jadi (Simba na Yanga) unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi ya tarehe 25 katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam.