KWAHERI RANIERI

Klabu ya Leicester City ya England imemtimua kocha wake raia wa Italia, Claudio Ranieri ikiwa ni miezi 9 tangu aipe ubingwa wa EPL, kutokana na timu hiyo kufanya vibaya msimu huu kiasi cha kuwa hatarini kushuka daraja

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS