AJALI Watu 9 wanahofiwa kufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama baharini visiwani Zanzibar. Taarifa zaidi itakujia baadaye Read more about AJALI