Mfumuko wa bao wapanda kwa asilimia 1.4

Ephraim Kwesigabo - Mkurugenzi wa Takwimu wa Jamii kutoka NBS

Kiwango cha mfumuko wa bei nchini kimepanda kwa wastani wa 1.4 kutoka asilimia 5 ilivyokuwa mwezi Februari hadi asilimia 6.4 mwezi Mwachi kwa mujibu wa taarifa kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu nchini (NBS).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS