Barnaba akutana na 'muujiza', amkiri Mungu
Siku kadhaa baada ya kutoa taarifa ya kuibiwa vitu katika gari yake ikiwemo pasi ya kusafiria msanii wa kizazi kipya Barnaba 'Baba Steve' amewataka watu waamini Mungu yupo baada ya asubuhi ya leo kuletewa vitu vyake kwenye bahasha.

