Mwamuzi Martine Saanya (Kulia) katika mchezo uliopita, uliozua vurugu na kusababisha mwamuzi huyo kufungiwa
Mwamuzi wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara kati ya watani wa jadi, Simba na Yanga, atafahamika uwanjani wakati wa mchezo huo, kutokana na Shirikisho la Soka nchini (TFF) kuamua kuficha jina lake.