VIDEO: Jaydee kutambulishwa ukweni Mwanamuziki mkongwe katika muziki wa bongo fleva, Lady Jaydee amefunguka na kusema mwezi wa nne mwaka huu anategemea kutambulishwa ukweni kwa mchumba wake Spicy nchini Nigeria. Read more about VIDEO: Jaydee kutambulishwa ukweni