Wasanii hawa waungana kumsaidia Jetman
Wasanii watatu wa bongo fleva wameungana na wadau wengine katika kampeni ya 'Amka na Jet Man' kwa lengo la kumsaidia msanii mwenzao kutoka Jiji la Mwanza aliyepatwa matatizo ya kupooza mgongo na kumsababishia kulala kitandani takribani miaka 4 sasa.