Yanga ni kama gari ya maiti - Julio
Kocha mwenye maneno mengi ambaye hivi karibuni alitangaza kustaafu kufundisha mpira nchini Jamhuri Kihwelo 'Julio' ameibuka na kuiponda Yanga kuwa haikuwa na uwezo wa kuifunga Simba, huku akiifananisha na gari ya maiti