Kamanda Sirro kumaliza utata kuhusu Roma

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam ameahidi kuzungumzia suala la kutoonekana kwa wasanii Roma Mkatoliki na Moni wa Centrozone tangu usiku wa kuamkia jana Alhamisi walipochukuliwa na watu wasiojulikana na kupelekwa kusipojulikana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS