Diamond na Alikiba uso kwa uso

Waziri Nape Nnauye amewakutanisha wasanii Diamond Platnumz na Alikiba katika kamati maalum ya watu 10 yenye jukumu la kuisadia timu ya Serengeti Boys kufanya vizuri katika michuano ya Afrika nchini Gabon.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS