Christian Bella anachota idea kwa msanii huyu..! Msanii wa muziki wa bongo fleva, Christian Bella Msanii Christian Bella amefunguka na kusema kuwa mara nyingi hata 'idea' ya muziki wake zinatoka kwa msanii Chris Brown kutoka Marekani na kusema ni kati ya wasanii ambao anasikiliza sana kazi zao. Read more about Christian Bella anachota idea kwa msanii huyu..!