EATV yaja na kitu kipya kuokoa masomo ya wasichana
Kituo cha East Africa Television LTD (EATV) kimezindua kampeni ya kuchangisha fedha za kwa ajili ya ya kununulia taulo za hedhi (Pedi) kwa ajili ya wanafunzi wa kike katika Shule za Sekondari nchini Tanzania.