Lord Eyes 'alivyomuumiza' mama yake

Lord Eyes

King Izz Mnako 'Lordeyes' amefunguka Ijumaa iliyopita akiwa kwenye heshima ya Bongo Fleva ya Planet Bongo kuwa baada ya kupata matatizo mengi kupitia muziki mama yake mzazi ni mtu ambaye amekuwa akiiumia zaidi na kumsihi aachane na muziki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS