Mapenzi yalitaka kunihamisha Arusha - Nigga C

Nigga C

Msanii kutoka kundi la 'Jambo Squad' Nigga C ameweka wazi leo katika kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio kuwa wimbo wake wa kipendacho roho kutofika mbali ni kutokana na familia ya mrembo aliyeonekana katika video hiyo kumtishia maisha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS