Uwoya awashukia wasanii wanaodai kulipwa na CCM
Msanii Irene Uwoya amekerwa na kitendo cha wasanii wenzake kutumia vyombo vya habari vibaya kwa kutangaza kuwa walilipwa pesa zao za kampeni kipindi cha uchaguzi mwaka 2015 na kuacha kufanya mambo yenye tija ndani ya jamii.