Diamond na Alikiba uso kwa uso Waziri Nape Nnauye amewakutanisha wasanii Diamond Platnumz na Alikiba katika kamati maalum ya watu 10 yenye jukumu la kuisadia timu ya Serengeti Boys kufanya vizuri katika michuano ya Afrika nchini Gabon. Read more about Diamond na Alikiba uso kwa uso