Timbulo amshukia QS Mhonda Timbulo Msanii Timbulo ameibuka na kuiponda 'label' ya QS Mhonda kuwa haijui jambo lolote kuhusu muziki na kushauri kuwa ni bora waelekeze nguvu zao katika masuala ya ujenzi kwani huko ndiko wanaweza kufanya vizuri. Read more about Timbulo amshukia QS Mhonda