Uongozi Yanga kumtia kikaangoni Bossou
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema utamuita na kumuhoji beki wake wa kimataifa Vincent Bossou kutokana na kutoonekana kwake kwenye kikosi cha timu hiyo pamoja na kambi iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya maandalizi ya mechi yao dhidi ya Simba