Adhabu za kikatili mashuleni zapigwa marufuku

Moja ya adhabu ambazo hutolewa mashuleni

Serikali imepiga marufuku tabia ya baadhi ya waalimu kutoa adhabu kali na za kikatili kwa wanafunzi na badala yake waalimu wameelekezwa kutoa adhabu kulingana na taratibu na sheria zilizowekwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS