AUDIO: Juma Nature ambariki rasmi Harmorapa

Juma Nature (kushoto) akiwa na Harmorapa

Msanii mkongwe katika muziki wa bongo fleva, Juma Nature amembariki rapa anayechipukia Harmorapa na kuweza kufanya naye kazi chini ya producer T Touchez, iliyopewa jina la 'Kiboko ya Mabishoo'

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS