Yanga yajipoza kwa Ruvu Shooting

Ruvu Shooting na Yanga, katika dimba la taifa leo

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Yanga imefanikiwa kupoza machungu ya kufungwa na Simba mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya leo kuwapigisha kwata maafande wa Ruvu Shooting kwa kipigo cha mabao 2-0.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS