Rais Magufuli ziarani katika mikoa mitatu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 02 Machi, 2017 ameanza ziara ya kikazi ya siku 4 katika Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara. Read more about Rais Magufuli ziarani katika mikoa mitatu