Maiti imepiga chafya - Massau Bwire

Msemaji wa klabu ya Ruvu Shooting Massau Bwire, amejikuta akifuta kauli yake iliyokuwa ikionesha tambo dhidi ya Yanga kuelekea mchezo wa jana kuwa timu yake ilishuka dimbani kwa ajili ya kuizika Yanga kwa madai kuwa tayari ilishauliwa na Simba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS