Serikali yatakiwa kujali wanafunzi wa kike
Mkurugenzi wa Taasisi ya Haki za Wanawake (HAWA), Joyce Kiria ameiomba serikali kuondoa kodi kwa wafanyabiashara wa bidhaa za taulo zitumikazo wakati wa hedhi (Pedi) ili watoto wa kike waliopo shuleni waweze kuzimudu kwa gharama nafuu.