CCM yatangaza Mkutano Mkuu Maalum Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kufanya mkutano wake Mkuu maalum wa Taifa Machi 12 mwaka huu lengo likiwa ni kufanya marekebisho ya kanuni na katiba ya chama hicho. Read more about CCM yatangaza Mkutano Mkuu Maalum